http://www.ajiraleo.com/
TAFUTA UNACHOTAKA, KIANDIKE KWENYE SEARCH BOX HAPA CHINI!

Download Your National ID (NIDA) Number Free Here | Get Your NIDA ID Number | National ID Verification Portal

WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
SHARE THIS POST ON WHATSAPP

AJIRALEO TANZANIA
NIDA National ID
Download Your National ID (NIDA) Copy Here | Get Your NIDA ID Number | National ID Verification Portal
NIDA National ID Verification Portal | Namba Za NIDA, Kitambulisho Cha Taifa, National ID Welcome to National ID Verification Portal
National Identification Authority (NIDA) is a public institution with a mandate of registering and issuing Secured National ID Cards to Citizen, Legal Residents and Refugees who are 18 years and above.
Recommended:

NIDA also manages National ID Database. Data stored in NIDA database is then shared by NIDA stakeholders eg. Banks, Social Security funds for their customer Identifications processes.
This portal is for retrieving information from National ID Database.
Read Also:

Intended users are
i) NIDA Stakeholders
ii) National ID card owner.
Who uses this portal to set PIN CODE which shall be used to disclose his or her information when needed.
Recommended:

21 comments

UKIDOWNLOAD NIDA ID COPY HAIPATIKANI KIRAHISI SIKU ZA NYUMA ILIKUWA INAPATIKANA

wanazingua tu mtandao wenyewe unayumba mnasumbua watu.nida mnakwama wapi hamjajipanga nini

I dont see the number after fill all required information correctly

kwanini mnaweka matangazo kwenye ukurasa wa Nida? online copy haipatikani tena kwa sababu ya matangazo yenu ya ajira. sisi hatuhitaji ajira tunahitaji huduma za nida humu

Ukidownload inagoma now days sijui kwa nn

system mbovu sjawahi kuona

Me mwenyewe sielewi na download haipatikani

Nida acheni kutuletea stress za ajabu ajabu, hii january tuweze ada za watoto, kodi za nyumba na nyie nida mtubanie kutoa number online, mna nini lakini.

Tunaomba wakubwa pite na huku NIDA kuna shida tena kubwa

Nida Kwan shida nn mbona copy znagoma kdownlod?

Nahitaji kupata namba yanida day nimejiandikisha Ile namba yangu janja toka

Nida tusaidieni achieni iyo mitandao tupate vitambulisho

nahitaji kupata copy ya kitambulisho changu bana

Wanazngua hawa aaaah maandaliz F

Hamna haja yakujiandikisha kama huduma hatupati...taarifa zetu zitambulisho mpaka kustaaf ndo mnatoa....mnakwamisha mambo yetu mengi international trade kama forex inahitaji hii kitu alf vuongoz mmekalia maofisini na kwenye saver nn maan ya kutuhenyesha kukusanya taarifa sasa.....ukiandikisha uaambiwa baada ya miez sita ila mpka sasa nunanmiaka mi3 sioni kitu...chapishen hizo za zamani kwanz mamboo yaendee

Jamnani ya kuwa na namba ya nida ni lazima ila kuipata sasa duh ni shughuli watu fanyeni kazi maofisini tuna kazi nazo za msingi sana hizo namba za NIDA

Copy za nida why hazipatikani???