http://www.ajiraleo.com/
TAFUTA UNACHOTAKA, KIANDIKE KWENYE SEARCH BOX HAPA CHINI!

TAMISEMI Ajira Application System | Register and Apply Now

WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
SHARE THIS POST ON WHATSAPP

AJIRA LEO TANZANIA
TAMISEMI Ajira Application System

TAMISEMI Ajira Application System | ajira.tamisemi.go.tz, Ajira Za Afya TAMISEMI 2021, Government Health Jobs 2021

TAMISEMI Ajira Application System. The role of TAMISEMI is to coordinate and supervise regional development management and administration.  TAMISEMI coordinates rural and urban development management policy and strategies; coordinates Regional Secretariats activities and builds their capacity in institutional development strategies for integrated socioeconomic development and financial development of Local Government Authorities.
Recommended:

IMPORTANT TO ALL APPLICANTS FOR TAMISEMI AJIRA
Registration of applicants
 •  Each applicant must register by filling out important information such as form number four, year of completion, applicant’s name, telephone number and applicable email address.
 •  Every applicant must register immediately.  The system will not allow you to register and send more than one application.
 •  Make sure all the information you complete is verified before you go to another feature.
Recommended:

Personal information
 •  Names that will be filled in the personal information section should be as they appear in the professional certificates.
 •  Form four and six exam numbers should be written in accordance with the S0123-0001 or P0123-0001. Examination numbers. Make sure the number you are using is correct.
Recommended:

Export of documents
 •  You are required to attach documents for each professional information, work license and birth certificate.
 •  The certificate being sent makes sure it is not larger than 2 MB.
 •  The application letter should be addressed to the Chief Executive Officer, the Presidency.
 • All attachments of important documents needed in the system should be in PDF format only.
Read Also:

PLEASE READ CAREFULLY INFORMATION BELOW BEFORE STARTING THE APPLICATION PROCESS
New Applicant
 • If you are new applicant use “New Applicant” or “Register” link to begin application process. Then follow the steps to complete your application.
If you already have an account
 • Enter your form four Index Number (username) and Password to login.
 • After successful login, complete the Application form and submit.
 • Remember to Login to check your Application Status.
REMEMBER:
Your Form Four Index Number and any other used Certificates should be VALID as they will be verified before you are selected.
MUST KNOW: INVALID NUMBER WILL LEAD TO REJECTION OF YOUR APPLICATION
NOTE: If Application link doesn't not opened correctly It's due to TAMISEMI system error not us, so please be patient and try again later.

50 comments

good information as we keep being educated and updating us

Tamisemi application system mbona inafunguka ya afya tu,kwahiyo ya uwalimu inatumika ipi

This comment has been removed by the author.

Application system ukifungua inafunguka ya afya, hyo ya ualimu iko wapi?

mbona inafunguka ya afya tu na ya ualimu haifunguki?

Why the system is opening only for health and other professions be like education?

Naona dirisha bado limefungwa aisee

Naona dirisha bado limefungwa aisee

bado wamefunga naona wanarekebisa system

AJIRA ZA WALIMU 2020 UPDATES: KAA CHONJO, DAKIKA SIO NYINGI MAMBO YATAKUA TAYARI #AjiraLeoUpdates

This comment has been removed by the author.
This comment has been removed by the author.

Mbona bado hajafungua tutume application jamani utaratibu upoje huko mtujuzi tujuee Kama iko tayarii??

vepe mbna kimya had saiv hatuelewi

Mimi nafikiri wangetuambia nini chakifanya maana tunahangaika tuu.

Tunahangahaika hatuoni chochote jmn tunaomb mrejesho kua vp wamegairi au

bado hatujaona watu wanahangaika kutafuta kinachoendelea

Habari ya muda huu, samahanini nashindwa ku recover password yangu ya kwenye system,inaandika tu system unavailable, naombeni msaada tangu Jana napambana lakini inakataa

tumia email kama usernane:itafunguka

This comment has been removed by the author.
This comment has been removed by the author.
This comment has been removed by the author.
This comment has been removed by the author.
This comment has been removed by the author.

Jamaanii mi nikiingiza index number ya form four wanaandika invalid why??

msaada jamani nikilogin inaleta unathorized user

ukishacomplete application then unasend au unaishia hapo wao ndio watafungua account yako?

unauthorized user inaniandikia hivyo shida ni nini?

Jaman apo kwenye namba ya mtihani mbona naandika inagoma au inaandikwaje jamn msaada naomba

Jamani msaada nikijaza ditel kwenye kufingua account nikifika mwishon naandikiwa hakiki nikibofya kwenye kuhakiki naandikiwa expired token msaada nijue ninapokosea pls

Jamani mm kwenye viambatanisho vingine birth certificate siioni na sioni sehem ya upload nisaidieni

Jaman changamoto tunaoomba sekta ya afya kitufe cha kuchagua mikoa,wilaya na vituo vya afya havifunguki kwanini

Mbona hata afya haifunguki naambiwa unautherized user aje sasa?

Msaada najisajili den inaniletea asilimia wakat sjamalza

Namba ya form four inasema haimatch tatizo linaweza kuwa nn?

samahani naomba msaada pale kwenye ADD COLLEGE INFORMATION kwenye kipengere cha REGISTRATION NUMBER mbona niki select NACTE inagoma ila niki select tcu au necta inakubali? mm nimemaliza mwaka 2014

msaada jamani muda pleasee

Samahani jamani naomba msaada mbona kila nikijaribu kufungua sehemu ya kujangua mikoa inagoma

Samahani jamani naomba msaada mbona kila nikijaribu kufungua sehemu ya kujangua mikoa inagoma Niko idara ya afya