https://yas.co.tz/?utm_source=ssp&utm_medium=website&utm_campaign=yas+anzia+ulipo+campaign&utm_content=bluetrain

Thursday, 29 May 2025

MUUZAJI DUKA LA UREMBO at Lily’s Trends Accessories May 2025

  AjiraLeo Tanzania       Thursday, 29 May 2025
WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
Lily’s Trends Accessories Jobs 2025
Lily’s Trends Accessories
Jobs in Tanzania 2025: New Job Opportunities at Lily’s Trends Accessories 2025

💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥

Lily’s Trends Accessories Jobs 2025
MUUZAJI WA DUKA LA UREMBO (FULL-TIME)

MUUZAJI DUKA LA UREMBO at Lily’s Trends Accessories May 2025

🌸 NAFASI YA KAZI: MUUZAJI WA DUKA LA UREMBO (FULL-TIME)
📍 Location: Mwenge Lufungira, nyuma ya AML Tower.
📆 Kuanzia: Mara moja
Lily’s Trends Accessories tunatafuta mrembo mwenye haiba nzuri, muaminifu na anayependa mitindo kujiunga na timu yetu ya mauzo!

💼 Majukumu:
- Kuhudumia wateja dukani kwa ukarimu na tabasamu 😊
- Kujibu meseji za Instagram/WhatsApp kwa wakati 📱
- Kutangaza bidhaa kwenye status na mitandao ya kijamii 📸
- Kupiga picha na kurekodi video fupi za bidhaa 🎥
- Kusaidia kupanga na kupendezesha bidhaa dukani 🛍️

✅ Sifa Unazotakiwa Kuwa Nazo:
- Uzoefu wa kuuza bidhaa za urembo (ni faida)
- Uwezo wa kutumia Instagram & WhatsApp Business
- Mpenda usafi, mpangaji mzuri wa bidhaa
- Mchangamfu, mwepesi kuelewa, mwenye ubunifu
- Awe anaishi karibu na duka au awe na uhakika wa usafiri
- ⁠umri kuanzia 20-25
- ⁠level ya elimu atleast diploma

💰Mshahara:
Unalipwa mshahara wa mwezi + motisha kulingana na mauzo.

📩 Kutuma Maombi:
Tuma jina lako, picha, CV, uzoefu (kama upo) na kwa nini unafaa kwa nafasi hii kwenda:
📱 WhatsApp: +255 792 800 505
🕘 Mwisho wa kutuma maombi: 10/06/2025.
logoblog

Thanks for reading MUUZAJI DUKA LA UREMBO at Lily’s Trends Accessories May 2025

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment