http://www.ajiraleo.com/
TAFUTA UNACHOTAKA, KIANDIKE KWENYE SEARCH BOX HAPA CHINI!

Saturday, 2 April 2022

0R-TAMISEMI Online Teachers Application System (OTEAS)

  AjiraLeo Tanzania       Saturday, 2 April 2022
WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
President’s Office – Regional Administration and Local Government has own system for applying government teachers job.
Recommended:

The following are the Instructions to us to apply online teachers application system (OTEAS)
STEP 1: Register to The Online Teachers Application System OTEAS
 • Create Account
 • Click on the following link>> Online teachers application system
Recommended:

STEP 2: How to Register to The Online Teachers Application System (OTEAS)
 • Fill in the information like your names, mobile numbers, emails
 • After filling in your particulars above, you will be successfully created the account after clicking REGISTER. Then log in to continue to the next step

STEP 3: Filling Of Particular Information 
Fill the information LIKE
 • Online Teachers Application System Job Finder Apply Tanzania
 • Personal information
 • Secondary education
 • Academic qualifications
 • Attachments in pdf
 • After filling the information click SAVE
STEP 4: Online Teachers Application System 
 • Last Step >. click on apply for post
 • Proceed other steps as you will be directed
Read Also:

CLICK LINK HAPA CHINI KUCHEKI VIDEO YA MAELEKEZO YA KU REGISTER NA KUFANYA APPLICATION A-Z | WATCH VIDEO BELOW TO LEARN HOW TO REGISTER ON OTEAS
OTEAS (Online Teachers Application System) Video Tutorial - OR-TAMISEMI

OTEAS Ajira Za walimu TAMISEMI 2022
Find all recent Online Teachers Application System (OTEAS) Vacancies 2021 across Tanzania and check all latest Online Teachers Application System (OTEAS) 2021 job openings instantly here, Know upcoming Online Teachers Application System (OTEAS) Recruitment 2021 immediately here, Register to the Online Teachers Application System (OTEAS).
Recommended:
TAMISEMI: Customer Care Center, 2022 | Kama Una Shida Yoyote, Check Here!

NEW UPDATES: SYSTEM OPENED KUSOMA TANGAZO NA KUTUMA MAOMBI CLICK HERE!
 
Get More Notifications Faster By Join Us Telegram Here!
Or

The Online Teachers Application System (OTEAS) 2022 will be updated here. Job openings for OTEAS Ajira Za walimu TAMISEMI 2022 will be released by the TAMISEMI.

We will update the detailed information of OTEAS TAMISEMI soon on this page. Job seekers who would like to know the updates of OTEAS Tamisemi for Health (AFYA TAMISEMI) and Teachers OTEAS Tamisemi can check here. Get the entire details of Online Teachers Application System (OTEAS) by reading this page further.
OTEAS Ajira Za walimu TAMISEMI 2022 Get The Applicant Registration Form which will appear as above:
 • Online Teachers Application System OTEAS is the Online System developed and operated by tamisemi which allows you to apply for any government teaching post you qualify.
 • The system is designed to help job seekers ( Teachers – Graduates) to apply for teaching vacancies in Tanzania Public schools.
Recommended:

Once TAMISEMI Advertise for vacant Posts for teachers, qualified graduates / teachers can apply via Online Teachers Application System OTEAS. All applications for employment must be made online via this website http://ajira.tamisemi.go.tz/#!/auth

All applicants must know that , If you are apply Online Via Online Teachers Application System – OTEAS ajira.tamisemi.go.tz , You Don’t Need to Submit a Hard Copy Version to the TAMISEMI and No Payments is required of any kind.

NOTE: The information above has not been independently verified. However, this article will continue to be updated to reflect official updates as and when they come in. OTEAS Ajira Za walimu TAMISEMI 2022.

NEW UPDATES: OFFICIAL SYSTEM OPENED, MAKE YOUR APPLICATION NOW!   
logoblog

Thanks for reading 0R-TAMISEMI Online Teachers Application System (OTEAS)

Previous
« Prev Post

24 comments:

Unknown said...

Hatuna namba ya nida,,serikali ituondolee kipengele hiki ili tuweze kufanya maombi

Unknown said...

Mambo ya Nida kupata imekuwa shida sana
Tamisemi naomba iondoe kipengere hiking ilituweze kutuma maombi

Tanua tv comedy said...

mbona mtando haufunuki jamani please tamisemi huku mtandao haufunguki siku nzima

Unknown said...

boresheni mtandao unatusumbua sana .na kuhusu kitambulisho cha nida serikali iliangalie hili swala kwa jicho la pili maana kama unaambatinisha na cheti cha kuzaliwa haina haja ya kuweka kitambulisho vha taifa au namba ya nida

Unknown said...

mbna mtandao haufunguki jamani na navoweka email yangu inagma tu inaandja alreadly exist why help me

Unknown said...

Poor network
The system cannot open even to start the Register to OTEAS

Unknown said...

Poor network
The system cannot open even to start the Register to OTEAS

Anonymous said...

same to me inasema account already exists

Unknown said...

Jamani Tamisemi Rekebisheni mtandao

Unknown said...

naomba ufafanuzi kuhusiana na vyeti vyenye majina mawili maana inakua shida kukamilisha usajili.

Paul John said...

https://bit.ly/3he59zZ hii link iko fasta kwa wale wenye shida na mtandao

Unknown said...

Huko ndani sioni option ya masomo ya sanaa hivyo kwa wanaarti wote tuwe makini na application zetu mbali na hivyo sisi ndo tutazungumzwa siku ajira zinatangazwa kuwa kundi kubwa lilideviate katika application accuracy

sajo said...

yaan sjui wametoa hizi ajira kama zuga tu maana syo kwa usumbufu huu jaman daah mtandao sku nzima unazunguka tu

Kamese said...

mtandao haufunguki tangu asubuhi had jion dah!

zwaylo said...

hivi kusubmit hiyo application kwa waliofanikiwa wamefanyaje?

Unknown said...

mtandao unazunguka tu. Tunaomba Serikali iborshe huu mfumo wa maombi ya ajira Tamisemi online.

Unknown said...

jmn naandikiwa account already exist tu nsaidien bc nfanyaje

Unknown said...

Naombeni msaada nimefungua akaunt lakini ku log in haitaki na Niki reset password unasema emeil not found....0742620035

Ibrahim AUGUSTINE said...

Nice post check out- jinsi ya kujisajili OTEAS 2020

Unknown said...

Google chrome wanafungua fasta......nlimalza jana effectively....
ok pawezekanapo tusaidiane..0784 610804

Unknown said...

Jamani msahada Mimi Nimesomea Uganda form four na six nikafanya equivalent ya matokeo yangu nakuomba chuo tz nikapata Sasa hii equivalent numba zinakataa katika application msaada jamani 0767215438

Unknown said...

Jaman msaada ety km ulishawahi kujisajiri na umesahau emaili ya mwanzo huwez fungua account nyingne

Unknown said...

Mtandao ni shida jamn tusaidieni.

Unknown said...

jamanii naomba masada jinsi ya kuapply

Post a Comment