https://mixx.co.tz/?utm_source=ssp+banner&utm_medium=website&utm_campaign=kila+hatua+mixx&utm_content=bluetrain

Tuesday, 4 November 2025

Miguel Gamondi Ateuliwa Kuinoa Taifa Stars kuelekea AFCON 2025

  AjiraLeo Tanzania       Tuesday, 4 November 2025
WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!

Miguel Gamondi Ateuliwa Kuinoa Taifa Stars kuelekea AFCON 2025

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ akichukua mikoba ya Hemed Suleiman ‘Morocco’ ambaye mkataba wake umesitishwa kwa makubaliano ya pande mbili.
CHECK NA HIZI:

Miguel Gamondi Ateuliwa Kuinoa Taifa Stars kuelekea AFCON 2025
Miguel Gamondi Ateuliwa Kuinoa Taifa Stars kuelekea AFCON 2025
Miguel Angel Gamondi
Taarifa ya leo Novemba 4, 2025 iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa mazungumzo yameshafanyika kati ya TFF na Singida Black Stars kuhusu Kocha huyo kuchukua majukumu hayo mapya na kubainisha kuwa kocha huyo wa zamani was Young Africans Sc ataiongoza Taifa Stars kwenye Fainali za AFCON zitakazofanyika nchini Morocco kuanzia Desemba mwaka huu.
logoblog

Thanks for reading Miguel Gamondi Ateuliwa Kuinoa Taifa Stars kuelekea AFCON 2025

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment